Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa António Guterres, aliyeko ziarani huko Lebanon, ameelezea wasiwasi mkubwa kuhusu mateso yanayowakabili wananchi wa taifa hilo la Mashariki ya Kati lililotumbukizwa ...
DAR ES SALAAM: Kwaya ya Flying Family inayojumuisha waimbaji kutoka madhehebu mbalimbali ya kikristo wenye vipaji vya uimbaji imendaa tamasha maalum litakalowakutanisha Watanzania wakiwemo wadau wa ...
MTWARA: Mhashamu Titusi Mdoe Askofu wa Jimbo Katoliki Mtwara, amewataka waumini kuendelea kufuata njia za Mwenyezi Mungu kwa ajili ya ustawi wa maisha yao. Akizungumza wakati wa hitimisho la ...
Malimingi, jina lake halisi limehifadhiwa kwa ajili ya usalama wake, ni mratibu wa shirika moja la kiraia la lililoko Goma, jimboni Kivu Kaskazini, Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC.
Tunaambiwa Pasaka ndicho kilele cha mwaka wa Wakristu kwa sababu waamini wa dini ya Kikristu huadhimisha ukombozi wao. Wanaadhimisha kifo na ufufuo wa Mwokozi na Mungu wao, Yesu Kristu. Historia ya ...
Dar es Salaam. Wakristu nchini wamekumbushwa kutumia sikukuu ya Krismasi kutafakari uhusiano wao na Mungu na kubadilisha mwenendo wa maisha yao ya kila siku. Wito huo umetolewa leo Desemba 25, 2022 na ...
Shirika la misaada la Kikristu la Open Doors linasema haki ya Wakristu kutekeleza imani yao kwa uhuru imepungua katika mataifa 74. Ripoti hiyo inasema zaidi ya Wakristu milioni 340 wanakabiliwa na ...
Gospel artiste and pastor Tinotenda Katsande was jailed for two months on Tuesday with the option to pay a fine after he was convicted of stealing a song. Harare provincial magistrate Learnmore Mapiye ...
Luxury lodge group Marasa Africa has seen more Ugandans visiting its Chobe Safari Lodge and sister lodges after introducing a special package for local visitors. For Shs 390,000 or $110, a Ugandan can ...
Waumini wa dini ya kikristu nchini Pakistan wamekusanyika kwa maziko ya waathiriwa wa mauaji ya siku ya jumapili yanayoaminiwa kufanywa na wanamgambo wa Taliban. Maelfu ya wanajeshi walizingira eneo ...
Maelfu ya Wakristu wanatorokea maisha yao katika mkoa wa Nineva baada ya wapiganaji wakiislamu wa The Islamic State kuuteka mji wa Qaraqosh. Afisa wa ngazi ya juu wa Kikurdi kaskazini mwa Iraq ameonya ...