Mwanaume mmoja akishushwa kutoka kwenye gari la wagonjwa (ambulensi) akiwasili katika Hospitali ya Rufaa ya Bunia, baada ya kuthibitishwa kwa mlipuko wa Ebola aina ya Bundibugyo katika mji wa Bunia, ...
Dodoma. Serikali imetakiwa kuwekeza nguvu katika umaliziaji wa miradi ya zamani kabla ya kuanzisha miradi mipya licha ya uwepo wa mahitaji. Ushauri huo umetolewa leo Jumatatu Mei 18, 2026 na ...
Dar es Salaam. Serikali ya Tanzania na Marekani zimeanza mazungumzo ya kuandaa mkataba mpya wa ushirikiano wa afya unaolenga kuwa mfano kwa nchi nyingine za Afrika, huku ukiahidi kuimarisha usalama wa ...
Kaburi la mtoto Alfa Nyalusi aliyezikwa katika eneo la Kibena, Halmashauri ya Mji wa Njombe, mkoani Njombe. Njombe. Baada ya kutoweka kwa takriban siku sita, Alfa Nyalusi (7), mkazi wa Mtaa wa Kibena ...
Baadhi ya wachezaji wa kikosi cha Serengeti Boys wakishangilia baada ya kupata ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Angola katika mashindano ya AFCON kwa vijana chini ya miaka 17. Dar es Salaam. Baada ya kuw ...
Dar es Salaam. Hofu ya mlipuko wa Ebola imeongezeka barani Afrika baada ya ugonjwa huo unaosababishwa na virusi vya ‘Bundibugyo’ kusambaa kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) hadi Uganda, ...
Dar es Salaam. Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limepanga mechi ya nusu fainali ya Kombe la Shirikisho la CRDB, baina ya Yanga na Azam FC kuchezwa Mwanza katika Uwanja wa CCM Kirumba, Juni ...
Engagement Lead for Mwananchi Online. Nairobi. Maelfu ya wananchi nchini Kenya wamejikuta wakikwama katika vituo mbalimbali vya usafiri baada ya madereva wa daladala, maarufu matatu kuanza mgomo ...
Dodoma. Wakati Bunge likitarajia kuhitimisha mjadala wa hotuba ya bajeti ya Wizara Maliasili na Utalii leo Jumatatu, Mei 17, 2026, wizara tatu zitawasilisha mapendekezo ya kuomba bajeti zao kwa mwaka ...
London, England. Beki wa zamani wa Manchester United, Gary Neville amemsifu kaimu meneja wa timu hiyo, Michael Carrick kwa mchango wake lakini ameonya kuwa kazi ngumu ndiyo inaanza sasa huku kocha ...
Baadhi ya wachezaji wa kikosi cha Serengeti Boys wakishangilia baada ya kupata ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Angola katika mashindano ya AFCON kwa vijana chini ya miaka 17. Ushindi mnono wa mabao 3-0 ...
Muonekano wa Papa mkubwa na hatari zaidi duniani aina ya ‘Great White’ ambaye anaripotiwa kusababisha kifo mtu mmoja baada ya kumshambulia. Picha na Mtandao Dar es Salaam. Katika tukio la ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results