Mshindi wa pili katika uchaguzi wa urais nchini Kenya amezungumza na kusema “Takwimu zilizotangazwa na Bw Chebukati ni batili na ni lazima zifutiliwe mbali na mahakama. Shangwe makao makuu ya chama ...