Maafisa wa Tume waliojifungia katika jengo la jumba la mikutano la Julius Nyerere, mjini Dar es salaam wanaendelea kutangaza matokeo hayo ya Uchaguzi japo kwa mwendo wa kinyonga na hadi alasiri majira ...
BODI ya Ligi Zanzibar (ZLB), imefuta matokeo ya mechi ya Ligi Kuu ya Zanzibar (ZPL) kati ya Kipanga na Chipukizi United na kuzipiga faini ya Sh5 milioni baada ya kuibuka tuhuma za upangaji ...
Bola Ahmed Tinubu ametangazwa mshindi wa uchaguzi wa urais nchini Nigeria uliokuwa na ushindani mkali lakini wengi, vikiwemo vyama vya upinzani, wamedai kuwa kura hiyo ilivurugwa na udanganyifu.
Zoezi la kuhesabu kura linaendelea nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo huku rais Felix Tshisekedi akiongoza kwa asilimia kubwa. Hadi usiku wa kuamkia leo, tume ya uchaguzi CENI ilitangaza matokeo ...
Mgombea wa Urais wa chama tawala nchini Nigeria, Bola Tinubu anaongoza kwa kura katika majimbo 20 kati ya 36 nchini Nigeria. Matokeo hayo ya awali ni kwa mujibu wa matokeo ya awali yaliokusanywa na ...
Mamlaka nchini India zimefuta matokeo ya mitihani ya kujiunga na shahada ya kwanza chuo kikuu hivi karibuni na mitihani ...
Matokeo ya uchaguzi wa wabunge wa kitaifa na mikoa yanasubiriwa kwa hamu nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Tume huru ya Kitaifa ya Uchaguzi (CENI) ilipaswa kutangaza matokeo ya uchaguzi wiki ...
Kwa mara nyingine, Waziri wa Elimu, Dkt. Fred Matiang'i, ametangaza matokeo ya mtihani wa kitaifa mapema mno tofauti na miaka ya awali, tena kwa kushtukizia - bila ufahamu wa wengi kuwa yangetangazwa ...