HISTORIA ya muziki wa Bongofleva imeshuhudia majina ya wasanii wachache waliosimama imara kati ya muziki wa kibiashara na ule ...
Makala Muziki Ijumaa Juma hili, Ali Bilali amezungumza na mwanamuziki wa bongo Fleva ambae amekuja kwa kasi kubwa na ngoma yake " Usisahau" ambayo amemshirikisha Baraka De Prince. Hii ni baada ya ...
Msanii wa muziki wa bongo fleva nchini Tanzania ambaye ni miongoni mwa wasanii waliofanikiwa pakubwa katika eneo la Afrika mashariki Rajab Abdul Kahali maarufu Harmonize ametoa ujumbe. Amewataka ...
Hali ya simanzi na huzuni imegubika familia ya msanii wa bongo Fleva Ali Kiba baada ya babake kufariki dunia mapema leo. Mzee Saleh Kiba alifariki katika hospitali ya Muhimbili ambapo alikuwa amelazwa ...
Makala ya Nyumba ya Sanaa juma hili inakuletea mahojiano na Rogat Hega Katapila ambaye ni mmoja wa viongozi wa bendi ya muziki wa dansi ya Extra Bongo yenye maskani yake jijini Dar es salaam nchini ...